bora wewe umekua waziiiiiiiikama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume
yaelekea binti ni mtu wa Mizinga, ndiyo maana njemba ikamdanganya.Sasa si akaolewe na hiyo kampuni..
Miss Na tafuta unatuangusha wanawake wenzakoo..Tutakimbiwaa wenzake kwa comment zako tata. Usijitoe ufahamu Wewe.Tulia..Inaonekana umekata Tamaa Na wanaume Sasa unaropoka tu .Nijibu utumbo uone mziki wangu.kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume
Acha kuweka Xxx kwenye maandishi yako humu sio Facebook..Ni Watu wazima waelewa..au umepotea njia.hahahah! iyo aliitaji kufunga ndoa na kazi ya jamaa co jamaa,yani ningekua mm hakuna mjadala na uyo mke tena km haibu nixhazomewa xn xhulen kwa kuxhika mkia xo iyo itakua marudio tu
Jinga wewe,umeandika mavi gani hapa?hahahah! iyo aliitaji kufunga ndoa na kazi ya jamaa co jamaa,yani ningekua mm hakuna mjadala na uyo mke tena km haibu nixhazomewa xn xhulen kwa kuxhika mkia xo iyo itakua marudio tu
Sawa mkuuno problem, tutatumia vilainishi,
Upendo na pesa havitengani.sio kwa mbio hizo... hapo kulikuwa hamna upendo, yalikuwa maigizo
Swala hapo sio pesa, huwezi mdanganya mtu anaetarajia kuwa wa ndoa wako, je kama Mume anafanya ujambazi, shoga, ama muuza dawa za kulevya. Wanandoa lazima muwekane wazi kila mmoja alidhike na kila kotu cha mwenzie kuanzia hali afya zenu, mapenzi yenu, shuguri zenu za kiuchumi. Ukimdanya mtu hasa mwanamke, akija labda akute zaidi ya kile ulichomweza, mfano: Ukimwambia unamiliki piki piki, akakuta unamiliki gari ataka kwa furaha, umwambie unamiliki gari afu akkute unamiliki piki piki, upendo huoshia hapo hapo.Kama anapenda pesa si afunge ndoa na bank?
Kudanganywa kama mtoto kunauma sana, ni bora mtu awe mkweli ili ufanye maamuzi ukiwa unamjua vyema kuliko kukupiga kamba kama huna akili.Kama anapenda pesa si afunge ndoa na bank?
Na wanaume wenye pochi[emoji12]kwani huwa mnatufuata kwa sababu ya mengi,manji na ATM! kumbe huwa mnaolewa na pochi siyo wanaume
Ndio maana kakimbiwa sasa, kuishi na mtu muongo bora uishi na mchawi.sio kweli,
huyo jamaa inaonyeaha alimpenda binti na alikuwa hataki kumkosa ndio maana imembidi adanganye
kama mtu huna kazi si useme tu ulishwe mjini hapa? mbwembwe za nini? oooh manji mjomba wangu sema kasafiri,ooh mengi shemeji wa jirani yetu yupo kwenye kikao
oooh atm imevunjika? ooooh account imefungiwa kumbe huna lolote
hata mimi ningekimbia maana kama umempendea mtu hela kumbe hana utasubiri nini? semeni kweli nyie wanaume
basi vijijini kusingekuwa na mapenziUpendo na pesa havitengani.
Kwani vijijini wanakula mawe?basi vijijini kusingekuwa na mapenzi
Kweli kabisa, la sivyo mbio tu.Watu msemage ukweli jmn ili mtu ajue anaingia wapii..
mmh kula sio tatizo... matatizo yataanza kwenye maweaving na vingine visivyo vya msiingiKwani vijijini wanakula mawe?
Hakuna kisicho cha msingi bwana, vyote vya msingi.mmh kula sio tatizo... matatizo yataanza kwenye maweaving na vingine visivyo vya msiingi
Sio kweli,ni baadhi ya wanaume tu hawajiamini,mbona tunaona watu wenye maisha ya hali zote wakifunga ndoa..??tatizo hamkubaligi walala hoi,
sasa ili tuwapate lazima tuwaingie kwa swaga za kipapaa,
ukija kujua mie ni muuza genge ni too late na "utamu na urod@" ushatoa,