Inawezekana si swala la kipato ila uhalali wa kazi yenyeweKama anapenda pesa si afunge ndoa na bank?
Hata mie hio heading imenishtua kidogo. Ina ukakasi sanaDuh hiyo heading ilivyo hatari, "Bi Arusi atimua mbio katikati ya tendo la ndoa" mimi nilijua kwenye mambo yetu yale baada ya mziki kuwa mzito akaamua kutikua mbio na pichu mkononi
Alaah mm nilifikiri kakimbia kupigwa show labda hana kipapuchi kidogo alafu kakutana na mguu wa mtotoWatu walipigwa na mshangao mkubwa nchini Nigeria baada ya bibi harusi kutoroka kanisani alipogundua mume wake mtarajiwa sio mfanyikazi wa kampuni moja ya ya kitajiri ya kuuza mafuta.
Je ungekuwa wewe mwanamume ama mwamamke umeachwa mataani kwenye harusi yako mbele ya watu kibao familia ,ndugu na marafiki na maadui waanza vipi??
unataka ukaolewe nae apoze maumivuKwanini adanganye? Kwani anafanya kazi gani?
Hata mie hio heading imenishtua kidogo. Ina ukakasi sana