Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,689
Hahhahahaaaa ndoa siku hizi si jambo la mchezo ati! Ni maisha na heshimaDoh.... kwa wale wenye imani zao.... huyo mwali ndo kwaheri tena ndoa.
Ataisikia kwa wenzake tu.
Doh.... kwa wale wenye imani zao.... huyo mwali ndo kwaheri tena ndoa.
Ataisikia kwa wenzake tu.
Huyu bi harusi angejiamuliam tu aolewe siku hiyohiyo na maumivu yake. Kidume hakichelewi kuchomoaHahhahahaaaa ndoa siku hizi si jambo la mchezo ati! Ni maisha na heshima
Hapo sasa ndo msala mwingine.Labda alimfanyia mwenzie magirini akaolewa yeye.......sasa yamemkuta.......
KwakweliHuyu bi harusi angejiamuliam tu aolewe siku hiyohiyo na maumivu yake. Kidume hakichelewi kuchomoa
Mawifi hawachelewi kusema ana gundu kwakweli asingeahirishaHuyu bi harusi angejiamuliam tu aolewe siku hiyohiyo na maumivu yake. Kidume hakichelewi kuchomoa
Hapo sasa ndo msala mwingine.
Hivi kwani kuolewa ni lazima??