Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,042
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza radio Pambazuko fm, kipindi mtaa kwa mtaa. Katika kipindi hicho alikuwa akihojiwa bibi mmoja ambaye tangu mwaka 1997 anaishi kwa kula kokota, nyoka, mishumaa, gololi na vitu vingine ambavyo ni vigumu.
Katika mahojiano na bibi huyo ambaye ameongea mengi anadai kuwa aliacha kula vyakula vya kawaida baada ya kupewa maagizo na malaika wake. Anasema hanywi maji, bali anakunywa juice soda na vinywaji vya asili ya matunda.
Akaendelea kulonga akasema anaogea mafuta ya taa akichanganya na maji chumvi. Au anaogea maji ya nazi ambayo anayapata pale soko kuu alipoweka ndoo yake. Alipoulizwa vp anapata choo alijibu hata yeye anashangaa kula kokoto then anakunya kama mtu aliyekula vyakula vya kawaida.
Kweli dunia haishiwi vituko. Amekula kokoto, mishumaa, na gololi za baiskeli live mbele ya mwandishi