Bibi Amekomaa duh

Na rozari yake kama tai. Kwa kweli Chadema imewashika pabaya wakristo. Hawachomoki lazima waishabikie kwa kuwa kimebeba matumaini yao.
 
uyu sijui ni bibi nini...
 
Kuna mtu aliniambia hiyo ishara maana yake ni mitanda yote miwili inapatikana hapo Voda na tIgO
 
Kuna mtu aliniambia hiyo ishara maana yake ni mitanda yote miwili inapatikana hapo Voda na tIgO

aisee! mtake radhi antie boflo anatumia mtandao mmoja tuu. nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…