Biasharaa ya vituu vya kike

Biasharaa ya vituu vya kike

Kdd

New Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
1
Reaction score
2
Habari Kwa wale ambao wanahitajikuingia Katika biasharaa ya vituu vya kike Na ushaulu Katika biasharaa hii Nina uzoefuu wa mdaa mrefuu Kwa wale waliopo dar es salaam .Ukipata mdaa ndakutembeza Maduka ya jumla na chimbo zote. nakama ukihitaji nikuagizie mzigo Kwa wale wa mkoa nipo tayari ni uaminifuu kati yetu unahitajikaa 0628009991 what's app na 0753327523

Najua changamoto zake, aina gani ya viatu vinavyopendwa mtaani, namna gani mzigo unavyopatikana kariakoo, ambapo machinga wote ndio wanapochukulia, kwa bei nafuu, na namna gani wanavyochukua huo mzigo, huko kwenye machimbo bei no rahisi sana,ila ukija kichwa kichwa utakutana na wajanja watakuuzia jumla wakati wao wameuziwa jumla, kwa mtaji wa shilingi 50000 hadi laki unaweza kuanza hii biashara, unaweza kutumia njia mbili kukuza mtaji wako hasa njia ya kukopesha japo inachangamoto zake,pia njia ya kutembeza mtaani na kuwauzia wakinamama,mim nipo kwenye hiyo biashara mda kidogo .kwa msaada wa kukupeleka kwenye machimbo, kuuongoza kununua mzigo,kukupa mbinu za biashara, kukupa aina za bidhaa sokoni zinazoitajika, na ushauri wa aina tofauti tofauti, nitajitolea mda wangu kwa gharama ya 5000 tu, kwa maana nitaacha shughuri zangu kwa ajili yako.

viatu ni kuanzia 3000, 3500, 4000, 4500, 5000, 5500, 6000..,nitajalibu hapa kutuma picha za bei za viatu vya jumla huko kariakoo,nikishindwa nichek watsap nitakutumia. asanteni

Pia chimbo la chupi, kanga stationary, viatu vya watoto, simple

2091991_IMG_20190615_105121.jpeg
 
Acha ungesse baas. Mtu anakupeleka kule shimoni kabisa upate vitu asilambe hata ya kung'arisha viatu 5k.
By the way ukienda wewe kichwa kichwa hiyo 5k unaweza ukaipoteza hata mara 3

Kuna watu sjui huwa wanafikiri kwa kutumia makalio yaani nashindwa hata kuelewa kwa kweli....!
 
Back
Top Bottom