Biashara zasimama Kariakoo

We kalia ujoni kisomo wako, kiingereza kiiingi, kireeefu, lkn ukija uchaguzi, tufanze, hata magufuli aende ukawa ukafanyika uchaguzi wa raisi wa ukawa, ujue huyo mamvi na mwingine yeyote atakaejitokeza, atabakia na manundu kwenye uso wake wa kisiasa. ..
 

Kwa kuzindua mradi huu ina maana kuwa umekamilika?Nauliza kwa sababu kwa mfano kituo cha Kimara Baruti bado hakijawekwa mashine za kukatia tiketi, ama barabara ya mwendokasi pale bucha bado pana hali ya kukera na hitilafu nyingine katika baadhi ya maeneo.
 
Kweli kabisa. Hata kule Mwanza sasa mji umependeza kweli, wamachinga wanauza bidhaa zao barabarani, safi sana. Big up JPM kwa kupamba miji yetu..
 
Huyo Sizonje anayesimamia watu wenye njaa na ukame wafe au mwingine? Ngoja kule Nanjilinji ndugu zako watakapo pukutika kwa vile mvua hakuna tutakuona kama utaendelea kukata mauno huku ukiimba hizo pambio zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…