Biashara zasimama Kariakoo

Duh..kama kweli Magu ni chaguo la Mungu, basi Mungu amedhamiria kutuhukumu watanzania hapa hapa duniani!
 
kauli yako unajua mpk sasa imesababishia taifa hasara kiasi gani.....watu wameahirisha kwenda kununua k koo ...
wakati biashara zinaendelea vzr. SIKU LOWASA APITE K KOO ndo u post KKOO BIASHARA ZASIMAMA
 
Hana kazi kabisa lost case anazindiwa mradi mmoja mara mia moja another lost decade tatizo la kuwa na maraisi mapedeshee
 
Kabla ya uchaguzi mdogo mlisema hivyo hivyo.
 
Mleta mada mpuu.zi kwelikweli, kwa hiyo hujui kwamba kuna wafanya biashara walikuja kutoka mikoani ili kuagiza mzigo lakini wamekumbana na hiyo kero? unafikiri wanafurahia hasara na huo usumbufu waliosababishiwa bila sababu?
 
Mimi nipo kariakoo lindi na Swahili kariakoo biashara ziilizosimama za wamachinga wanozunguka kituo cha mwendo kasi na jana waliambiwa leo wasifungue na ndio waluokuwepo pale ndani wakisubili magu aondoke wafungue biashara zao acha kupotosha mkuu
 
Miungu wapo wengi


Mungu aliye hai, Mungu wa Miungu,
the God of Abraham, and the God of Isaac, and the God ofJacob'? He is not God of the dead, but of the living.”


Yap, Mh. Magufuli ni chaguo la Mungu..100%
 
Unadhani celebrity mwenye followers milioni mbili, wote ni mashabiki wake? Wengine hufollow kuchunguza tu anachokifanya uyo celebrity ili wapate cha kumponda

Vivyo hivyo kwa hao machinga leo
 

Wakati wa kumchukia tutakumbushana.
 
Bandiko LA kipumbavu kuliko nachelea kusema unakivuli cha laana mtia post
 
Mungu aliye hai, Mungu wa Miungu,
the God of Abraham, and the God of Isaac, and the God ofJacob'? He is not God of the dead, but of the living.”


Yap, Mh. Magufuli ni chaguo la Mungu..100%
Kama ndio huyo Mungu aliemuinua huyu unaemzungumzia, kuna uwezekano mkubwa watanzania tutakuwa tumepewa jaribu la kutest imani yetu.Naamini wamuaminio Mungu wa kweli ni wengi kuliko wasio amini, kwahiyo tutalishinda jaribu hili.
 
Hata bomu likilipuka watu huwa wanaacha biashara kwenda kwenye tukio kuangalia ni kitu gani kimetokea bila ya kujali kuwa bomu linaua.
 
Dah,hapa buku 7 imeshaingia!
The World is not fair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…