The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,643
- 18,285
Watanzania wanapenda matukio tu!!Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
kama huna nauli piga mbizi, sijaleta tetemeko, sitawajengea nyumba, sitagawa chakula, serikali haina shamba. Kipenzi cha watukumlaki kipenzi cha wanyongwe
Watu wamezuiwa wasifungue maduka leo, usipende kupotoshaSalaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Acha maneno, bahati yako nko mkutanoni... ngekuja piga picha hapo Aggrey nithibitishe... Anyway, njoo hapa ujionee jinsi watu walivyo na imani na Mh. Rais
Kaa uzoee JF kwa muda utagundua unatomboka ujinga wa FB ambao hauna nafasi hapaSalaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Unajua maana ya "chaguo la Mungu"Magufuli ni chaguo la Mungu.
Bado safari ni ndefuunamaanisha wafanya biashara wa kariakoo wote ni wamachinga?
Lazima utakua mpiga dili tu,maana si kwapovu hilo mkuuOooh my God this is ridiculous watu wanaongea utadhani hawako Tanzania!! Unafikiri uchaguzi ukifanyika now huyu aliyepo atapita??
Mtu anapeleka hela yote central government wakati hakuna production ya maana inayoendelea ili bidhaa zishuke bei, wakati huo huo kodi ya importation inapandishwa, then what do you expect?? And then you come out and praise him?! Dont be scum
Na wananyongwa haswa.... kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Njaa mbaya sana unadiriki kumshirikisha Mungu kwenye uchafuMagufuli ni chaguo la Mungu.
Tanzania mpya au Tanzania ya enzi za Nyerere imerudi.Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Mungu yupi?Magufuli ni chaguo la Mungu.