Biashara zasimama Kariakoo

Mkuu, huo mkubwa ndo atashinda kwa kishindo amini maneno yangu... Dalili imeoneshwa kwa uchaguzi mdogo kuonesha jins watu walivyo na imani na chama chao...
 

huu ndo uhalisia wa kiongozi, binafsi nampenda sana Mh. Rais wetu Mungu ampe maisha marefu na moyo wa kusaidia wanyonge hasa waliopoteza tumaini
 
mmetusababishia foleni sana leo huku mnataka mapato
Pole... sio foleni endelevu, mana watembea kwa miguu nao lazima tuwaangalie mana wengi wanavuka kumkimbilia Mh. Rais kumsikilza ndo mana. Kipenzi Chetu Mh. Rais
 
Pole... sio foleni endelevu, mana watembea kwa miguu nao lazima tuwaangalie mana wengi wanavuka kumkimbilia Mh. Rais kumsikilza ndo mana. Kipenzi Chetu Mh. Rais
hapana mngefanya weekend nimekwazika sana leo
 
Hapa miguu inaniuma nimetembea kwa miguu toka mivinje to kariakoo shida tupu
huo ndo utanzania unaotakiwa [HASHTAG]#stella[/HASHTAG] kwan hata wazee wetu walitembea zaman umbali mrefu sana cha msingi unavyotembea uwe unajifunza mambo na changamoto mbali mbali unazokutana nazo njiani ili iwe chachu ya mafanikio yako sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…