ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,309
- 41,057
Hongera kaka
Juhudi zako zizae matunda zisiende bure
Juhudi zako zizae matunda zisiende bure
Aibu gani hapo wewe mpuuzi?Mzee unatia aibu yaani eee KUUZA MAANDAZI YA MAMA! 😎
Na zikizaa matunda afungue genge,kuuza matunda pia inalipa sana.Hongera kaka
Juhudi zako zizae matunda zisiende bure
Ila we jamaa noma sana😁😁🙌Na zikizaa matunda afungue genge,kuuza matunda pia inalipa sana.
Vipodozi ndo nazeekea. Tanzania ndogo lifananisha na china au USA, ukiwa na wateja wachache,changanya biasharaKwanini usifocus kwenye biashara moja mkuu yaani kila mwaka bashara mpya hata biashara moja ya kukutambulisha vizuri unakuso
vipodozi nimejikitaMkuu kwa umri wako ninakushauri ufanye tathmini biashara gani unayoimudu katika hizo ulizowahi kufanya kisha uifanye kwa ubora wa hali ya juu. Kupitia hii taarifa yako hakuna biashara uliyodumu nayo hata kwa miaka 5. Hii inakupunguzia kuaminika.
duuhNa zikizaa matunda afungue genge,kuuza matunda pia inalipa sana.