Biashara zangu Bora kwa sasa hapa bongo NI apartments, pool tables, saloon.

Biashara zangu Bora kwa sasa hapa bongo NI apartments, pool tables, saloon.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,580
Reaction score
56,800
Bado kuna upungufu mkubwa wa nyumba na lodge aisee wageni nchini wanazid kuingia mambo NI MENGI wachina na watu kutoka Mataifa wanamiminika kwenye miradi.imagine anakuja mchina anakuta Una nyumban hujamaliza kujenga yuko tayari kukupa hela uimalizie finishing wahamie.cake ya TAIFA iliwe kila mtu apate posho kama Una hela kwa sasa wekeza kwenye viwanja..nyumba hupigwi hutapeliwi labda Tu ucheleweshewe malipo ila ni biashara imenyooka ukiifanya maeneno kama Dodoma,dar,Lindi,mtwara, singida,in short nadhani mikoa Tu yote kuna uhaba wa nyumba.

Kama Una hela za kawaida kama Mimi basi fanya biashara Ambazo hazihusiani na kuuza na kununua yaani ukishawekeza umeweka napenda saloon na pool table ila sio moja nataka vikiamua kuwa nayo yawe mfumo wa network saloon 10 mapooltable 10 vijijini mbalimbali.
 
Be careful na 'mchina' ....

Ukimruhusu tu aimalizie nyumba Yako au akupe pesa uimalizie Huwa atajifanya naye ni mbia..! Ujue anaenda benki kuichukulia mkopo hiyo... Kuwa macho.
 
Back
Top Bottom