Biashara za kuanza kwa kipato kidogo

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
410
888
Habari wakubwa!

Najua wengi wetu tumefocus kwenye uchaguzi wa mwaka huu! Ila napenda tuje na kujadili kuhusu maisha!!

Kuna biashaa ya kufanya:

1. Michezo ya kubahatisha (betting rooms)

Mashine za kubetishaa ni bure na pia inalipa zaidi ya mpesa, mfano gali bet


2. Saloon ya kunyoa ya kiume!! Saloon ya kawaida ni haina cost kubwaa sana

Kwa week depends on locations

70,000 x 4 = 280,000 hapa wewe ni hela yako huna gharama nyingine yoyote

3. Biashara ya kuuza maji, mfano hapa Ubungo ukipata site nzuri utaoiga pesa mno.


Naombeni haya niliyoandika mjaribu kufuatilia kabla hamjaanza.

PIA KILA MTU ATOE MCHONGO AMBAO UTATUFANYA TUISHI HAPA TOWN KARIBUNI SANA.

FOR DM KARIBUNI WE WANT ALL TO SUCCEED AND TO PROSPER.
 
Kwa kuongezea biashara yeyote inayohusu simu.
Ufundi.
kuuza vifaa vya simu.
kuuza vocha za jumla na rejareja.
Kusajili na kurenew laini za simu.
M-pesa,Tigo pesa n.k.
 
Hivi nikiwa na Milioni moja naweza kufungua Saloon?
Ngoja tusubiri majibu kwa wanaofahamu.
ila ungefafanua hiyo m-moja nje ya kodi ama na kodi ndani ya hiyo pesa?
Saloon ipi ya kike ama ya kiume?.
 
Back
Top Bottom