makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,022
- 104,625
Chief, mzigo chini ya kilo mnasafirisha kiasi gani, je nikinunua mizigo tofauti(kwa watu tofauti) ila nikaiaddress kwenu(warehouse yenu china) inawezekana mkaipack katika kifurushi kimoja kisha ndio kipimwe na kisafirishwe(maana yangu nilipie huo mzigo pekee)?Karibu Nufe trading and logistics limited, uagize nasi
+255659325453
uwe na amani
Anyway supplier hawezi kuwa mmoja wa bidhaa zako zote