Biashara za kuagiza vitu China

Feb 7, 2022
7
8
Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na....

Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok China
 
Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na ........... Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok china
Kama unahitaji Hawa went magroup ya kuagiza, naweza kukusaidia.

Kuna dada mmoja yupo Ubungo Maziwa anaagiza.

Ila mizigo ya aina hi Kuna kusubiri sana, mpaka miezi mitatu.
 
Naelew ila ningepat supplier anaowatumia yeye ili niwe naagiza navo vitaka mm kwasabab kwwny magrup meng mnawekew limit kuwa wote muagiz bidhaa aina moja
 
Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na....

Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok China
Unaweza kutumia Alibaba kununua Ila ina tegemea na bidhaa.
 
Una simu tumia muda wa wikiendi kusoma mitandaoni namna ya kuagiza na website vipi utaagiza. Namna ya kutambua scam za mtandaoni. Lini au muda wa kupata mzigo. Njia za kufanya malipo.

Tumepewa akili
 
Mpak nimekuj kuomb msaada uku ujue mtandaoni nimeshatafut saaaaaaaaaaaaan
 
Back
Top Bottom