Biashara yangu ya mpito natafuta mtaji

Biashara yangu ya mpito natafuta mtaji

Hello wapendwa karibuni mniungishe katika biashara yangu mpya nipo kutafuta mtaji wa kuanzisha catering ya kisasa ila nimeona nianzie huku kwanza.

Bei zangu ni kama hivi:
Makande + salad + parachichi kidogo bei 3500.
Makande + fried beef + parachichi kidogo bei 5000.
Kwa vile bado nafanyia online kuna gharama kidogo za kukuletea(delivery) kuanzia sh 2000.

Karibuni sana mniungishe
Karibuni PM

View attachment 1591113View attachment 1591114View attachment 1591115View attachment 1591116

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app

Wapenzi wa mlenda pia upo toa tu oda yakoView attachment 1595296
Vipi ulifanikiwa
 
Elezea upo kijichi kuna watu wanaweza kufika kula kwako, weka mawasiliano biashara sio hadi PM haukuona yule Hornet anavotuuzia kadet na location alitoa tulipoenda kununua hatukusema tumesoma tangazo jf, tulinunua na kuondoka.
Mi bado nafanyia online mkuu na deliver tu ila nipo kwenye process za kutafuta sehemu maalum

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom