Biashara yangu ya mpito natafuta mtaji

Biashara yangu ya mpito natafuta mtaji

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Hello wapendwa karibuni mniungishe katika biashara yangu mpya nipo kutafuta mtaji wa kuanzisha catering ya kisasa ila nimeona nianzie huku kwanza.

Bei zangu ni kama hivi:
Makande + salad + parachichi kidogo bei 3500.
Makande + fried beef + parachichi kidogo bei 5000.
Kwa vile bado nafanyia online kuna gharama kidogo za kukuletea(delivery) kuanzia sh 2000.

Karibuni sana mniungishe
Karibuni PM

IMG_20201004_232529_784.jpg
IMG_20201003_171248_513.jpg
IMG_20201003_143259_765.jpg
IMG_20201005_051735_880.jpg


Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app

Wapenzi wa mlenda pia upo toa tu oda yakoView attachment 1595296
 
Mkuu ungeweka na bei ingekua poa sana

pia na mawasiliano
 
Hongera kwa ubunifu, nimeipenda sana idea yako uko vizuri ongeza bidii
 
Back
Top Bottom