Tuuze kwa mnada hiyo midege halafu hela tujengee madarasaNimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Na tununue vigoda, tujenge na vyoo. Walimu na wanafunzi wanakutana kupupu porini, mwalimu akiona wowowo la binti, Kuna salama hapo?Tuuze kwa mnada hiyo midege halafu hela tujengee madarasa
Ningekuwa najuwa kutongoza, ningekutoza upyaaaaaaaHahahahahahahah...ingekuwa nchi ya betting uahahaa joseph meridian betting🤣
Miongoni mwa watu wachache sana, nimeonana nao na wanafahamu siri hii Ni Wangari MaathaiBujibuji, imenichukua miaka miwili kuelewa hii fasihi yakoo, hakika jf ni forum yenye genius only
Ila ukisikia ushikaji huyu ni real friend hahahha jaman miaka mingap sasa mko pamoja na uchizi wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣!hamkuagi tu nyie dah..very fun🤣🤣..msalimie...Ningekuwa najuwa kutongoza, ningekutoza upyaaaaaaaView attachment 1743923
Tutakuja mjini mji na mavitabu yetu, haha haha hahaaaaIla ukisikia ushikaji huyu ni real friend hahahha jaman miaka mingap sasa mko pamoja na uchizi wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣!hamkuagi tu nyie dah..very fun🤣🤣..msalimie...
Bujiku ww una akili...sijui umezidi utani? Ahahaha....nakukumbuka enzi zile tunashindwa vihesabu unakuja kutusolvia fast🤣🤣! Tukawa tunasema huyu kaka kwan anasoma hapa au..wanajibu ah hawa wahuni tu...hahaha siku nakufumania ifm🤣🤣 shenz kwel wwMiongoni mwa watu wachache sana, nimeonana nao na wanafahamu siri hii Ni Wangari Maathai
Mwenzako bado Dk? Akili hiyo anamtibuje mtu jaman🤣🤣Tutakuja mjini mji na mavitabu yetu, haha haha hahaaaa
Tukue ili tufe mapema🤣😂😅?Ila ukisikia ushikaji huyu ni real friend hahahha jaman miaka mingap sasa mko pamoja na uchizi wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣!hamkuagi tu nyie dah..very fun🤣🤣..msalimie...
Hahahhaa haswaaTukue ili tufe mapema🤣😂😅?
Maisha yasipokupa furaha, usitegemee kuipata kaburini
Hah hah hahhhhhh, Kuna mtu nilikutana naye kwenye darasa la Masters, sikuwa naingia darani tukaonana kwenye mtihani, enzi hizo nafanya kazi hazina, akaenda kunitangaza ofisini kwamba mi ni mpelelezi, nikachukiwa ofisi nzima🤣Bujiku ww una akili...sijui umezidi utani? Ahahaha....nakukumbuka enzi zile tunashindwa vihesabu unakuja kutusolvia fast🤣🤣! Tukawa tunasema huyu kaka kwan anasoma hapa au..wanajibu ah hawa wahuni tu...hahaha siku nakufumania ifm🤣🤣 shenz kwel ww
Ana clinic yake, inajaza balaa. Inaanza saa moja hadi saa sita, anafunga ofisiMwenzako bado Dk? Akili hiyo anamtibuje mtu jaman🤣🤣
Hahahahhaa nataman nije nimuone hahahaa.dah maisha hayaAna clinic yake, inajaza balaa. Inaanza saa moja hadi saa sita, anafunga ofisi
Lini tuje mji pembeni ya mji? Halafu namba zako za zamani zote hazipatikaniHahahahhaa nataman nije nimuone hahahaa.dah maisha haya
Zimepotea na sikuzisajili...12.4 my birthday .uje ule 🐐...ila ntakuwa Chattle kuhani msiba👺👺Lini tuje mji pembeni ya mji? Halafu namba zako za zamani zote hazipatikani
Tutakuja kukubatiza na ubatizo wa kicheko, yaani, tumekupania vibaya mnoZimepotea na sikuzisajili...12.4 my birthday .uje ule 🐐...ila ntakuwa Chattle kuhani msiba👺👺
Hahahahahahha.....nawakumbuka mno...yaan nyie bwana..dah..haya karibuTutakuja kukubatiza na ubatizo wa kicheko, yaani, tumekupania vibaya mno
Hahahhaa sasa hv empire imeanguka..the rise and fall of sukuma🤣🤣..hao kina Rashid hawana lolote kwasasa ..ntakutumiaNdio mtakuwa na Jambo lenu na Gwajima??????
Ntakuja bila kukosa. Nitumie PM namba yako