Biashara yangu ya Bundi imenidodea

Nimependa sana "De Language language style that you have used to deliver your intended message" nimecheka sana yaani mkuu kwa njia hii utatumiwa askali kanzu maana tungo ni tata eti

"meaning is in people not words uttered by speaker"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaaaaa si kuna mmja ulimpeleka kwa jirani vipi karudi?

|ChatBot
✓|
 
Bundi wako ulitumia janja janja sana kuwaingiza sokoni. Mara wawameze KASUKU wa kijivu, mara wajinyakulie Nyama ya mbuzi ya CHOBBO INVESTMENT, vurugu tupu...!!!
Pambana na bundi wako...
 
Bujibuji lete huo mzigo hapa Dodoma bungeni.
Wateja wako wa kumwaga ukianzia na Job Less Akili. Guta na hata wakuu wa mikoa
 
Kibiashara changu cha bundi hakiendani na mambo yenu ya uchumi wa kati..... nadhani tatizo nyota
Tatizo sio nyota Mkuu.. Tatizo Ww ni mbishi.. Tulikuona tokea ukiwa waziri ulivyokuwa ukikurupuka ulivyo Pewa u number 1 tukakuonya hukusikia

Sasa Hiyo mijibundi Ulitaka kubebea nyuma upaleke abroad si mwehu ww???



Haya professor katoa ripoti kuwa unaendesha hyo mijibundi kwa hasara


better to resign bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu profesa maji manene mbona ananivua nguo hadharani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…