jamesmmassy
Member
- Apr 27, 2013
- 8
- 0
Wandugu poleni na majukumu ya kila siku,
Kilicho nisukuma kutumia dakika kadhaa kuandika hapa ni kuwa nahitaji mtu anae elewa mambo mengi kuhusu zao la alizeti, kwa mfano, linapo limwa kwa wingi, upatikanaji wake, mahali viwanda vilipo, na ikibidi soko lake, n.k
Huyu mtu inawezekana anahitaji sana kufanya hii biashara lakini kuna vikwazo anakumbana navyo, mfano pesa,, namhitaji kuonana nae kwani najua tukiweka pamoja alicho nacho na nilicho nacho tutafanya kitu kikubwa,,
Kwa mawasiliano whatsapp;0625581805