Kataa wahuni
Member
- Jul 21, 2025
- 16
- 20
- Thread starter
-
- #41
Duuuuh hapo sasa ni kipengeleTCRA wanataka upate leseni, application fee ya leseni ni 150k, leseni ni kama 450k hivi kwa mwaka na kuendelea kulingana na ukubwa wa eneo unalotaka kutoa huduma. Hata kama ukipata wateja 2 wakikukamata unauza bila vibali unajumuishwa na wahujumu uchumi.
All the best.
ok soon as possible nitaanza hii biashara rasmiHaisumbui
ok ntakupa mrejesho mkuuMkuu ulifanya hii unipe abc?
Karibu sana mkuuok soon as possible nitaanza hii biashara rasmi
wewe pia unaifanya hii ?Karibu sana mkuu
Kumbe ina chakula eeNaona ni biashara nzuri!
Shinyanga, nimeona mitaani jamaa wanachaji 5,000/= kwa mwezi, na pale stand (wenyewe wanaiita Manyoni) wanatoa huduma hiyo kwa 1,000/= kwa siku. Kila saa nne asubuhi, wanabadilisha password. Kuna watu wameajiriwa, wanazunguka kila kona, kutafuta na kuunganisha wateja.
Ukiniuliza hiyo biashara inafanyika kwa kujisajiri kwa wenye mamlaka, jibu sina!
Airtel haisumbui mkuu wako bomba sanaa. Before tafuta mtu mwenye experience atakwambia kwann airtel na sio zingine.mimi nko kondoa mjin naona 4G network ndio iiyopo kwa mitandao yote kwa iyo nikinunua airtel 5G router haitanisumbua network
Kamanda naomba tuungane hii safariok soon as possible nitaanza hii biashara rasmi
Hapa changamoto iliyopo ni kwamba wanaweza waka scan hiyo barcode ya wi fi then wakawa wanatumia tuu bure kwa kuunganishana,nadhani kwanza tungejuwa namna ya kuzuia watu ku scan then tungefanya hii biashara kwa usalama zaidinipo mkoa nataka ninunue ya Airtel wadau wawe wanachangia buku buku nione kama tutaishi
Ile huwa inakuwa unlimited unalipia kwa mwezi na nadhani device moja wanaweza kutumia watu 10 hadi 15.Utapiga ela japo matumiz utacontrol vp
mimi nko kondoa mjin naona 4G network ndio iiyopo kwa mitandao yote kwa iyo nikinunua airtel 5G router haitanisumbua network
Kama ni cable internet akiweka kwenye routers kama za MikroTik unaweza ku control na kufanya unachotaka hata ukitaka kuuza kwa mfumo wa bando au vocha unaweza hamna mambo ya kuscaniana kwa QR Code hapa mianya yote inabanwa... Kuna aina ya Router za MikroTik zina hizi features ukipata mtu mtaalamu ana kuconfigia..Utapiga ela japo matumiz utacontrol vp
Dah watu wanapambana sana.Naona ni biashara nzuri!
Shinyanga, nimeona mitaani jamaa wanachaji 5,000/= kwa mwezi, na pale stand (wenyewe wanaiita Manyoni) wanatoa huduma hiyo kwa 1,000/= kwa siku. Kila saa nne asubuhi, wanabadilisha password. Kuna watu wameajiriwa, wanazunguka kila kona, kutafuta na kuunganisha wateja.
Ukiniuliza hiyo biashara inafanyika kwa kujisajiri kwa wenye mamlaka, jibu sina!
TTCL ndo best mkuuNaomba utaratibu ukoje...nataka nitengeneze customer base yangu ya wateja hata kama 500 tu hivi inatosha
Na kwa bongo nani ni main source ya internet distributor
Asante mkuuTTCL ndo best mkuu
Yes mkuuAsante mkuu
Nadhani hawa wana network coverage sehemu kubwa right?