Biashara ya wifi internet router mtaani

Kama utachukua router check network kulingana mazingira yako kama mitandao yote iko powa check airtel router ndo best kwa sasaa. kuhusu kucontrol matumiz walisiana nao watakuelezea its possible
 
Vipi inauelekeo kidogo na nini changamoto yake
Kwa sasa nakushauri chukua zile za yas za 99k naona zile hazisumbui ila za Airtel now Zina usumbufu sana kwa hapa dar es salaam sijajua huko mkoani
 
Mitaa ya Dar es salaam, saiz huu ndio mchongo kwa watu wenye nazo kwenye ofisi zao, unalipa buku unatumia 24hrs.

Wanakusanya buku buku za kutosha kila siku.
Exactly 💯 mkuu Raha sana hii Mishe Tena mtu anatumia hadi anachoka mwenyewe
 
Kama utachukua router check network kulingana mazingira yako kama mitandao yote iko powa check airtel router ndo best kwa sasaa. kuhusu kucontrol matumiz walisiana nao watakuelezea its possible
mimi nko kondoa mjin naona 4G network ndio iiyopo kwa mitandao yote kwa iyo nikinunua airtel 5G router haitanisumbua network
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…