Biashara ya vituo vya mafuta na faida zake.

mamipetroleum

New Member
Sep 27, 2011
2
0
manajamii wenzangu nauliza, hii biashara ina faida gani?..
nimesika hawa jamaa wanapata shilingi 100;- kwa lita ya diesel au petrol. na ni waarabu na wahindi wanao jishuhulisha na bia shara hii?.kweli wangefany hiyo biashara kam faida yenyewe ni ndogo kama hiyo? au tunazibwa macho tu?..kam ndio hivyo hiyo faida yenyewe inaingia ktk kulipa mishahara ya watumishi na matumizi madogomadogo?..kinachonishangaza zaidi nikwamba , hawa watu wanazidi kunenepa, magari yao yanazidi kua makubwa, na nyumb zao zinazidi kupanda juu?.. jamani, mimi tuu au tuko wengi kama mimi, nitoeni mchanga wacho mwezenu.
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,903
Hujui hesabu ya kuzidisha? akiuza lita 5000 kwa pump moja kwa siku zidisha mara pump kadhaa mara thelathini .Uliza msharahara wa pump attendant etc utajipatia jibu ambalo ni +ve au -ve
 

mamipetroleum

New Member
Sep 27, 2011
2
0
Hujui hesabu ya kuzidisha? akiuza lita 5000 kwa pump moja kwa siku zidisha mara pump kadhaa mara thelathini .Uliza msharahara wa pump attendant etc utajipatia jibu ambalo ni +ve au -ve


i know, lakini biashara gharama zake sio mishahara tuu, mfamaji, kama faida ndio hiyo tuu, unadhani hao matajiri wakubwa wangefanya hiyo biashara?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom