BIASHARA YA VITENGE

BIASHARA YA VITENGE

Joined
Mar 30, 2017
Posts
16
Reaction score
2
Habari za jioni wadau,anayejua kuhusu bei za vitenge aina zote na jinsi zinavyouzwa kuna mtu yupo mkoani kaniuliza anataka kujua ili aangize,naomaba msaada wenu ili ajue na kama akiagiza yeyote aliyeko dar nitamtafuta ili aniuzie akikubaliana na bei hiyo.
 
biashara nzuri sana hii,,
Naomba kwa wenyeji wa kigoma watupe details za biashara hii
 
Back
Top Bottom