Biashara ya vitenge ni black Diamond!?

Mshana Jr at his best
 
Inabidi uwe na watu nyuma yako wa kukukingia kifua TRA wakikudaka
 
Hii nchi watalipa kodi masikini tu ila matajiri na viongozi chini ya bibi ushungi nchi wameshaitia mfukoni.
Lakini takwimu zinaonyesha Tanzania ni ya nne kwa mapato makubwa baada ya COVID 19,mwendo sio mbaya hebu tujikubali kiasi
 

Hizo biashara wamefanya 20yrs back leo ndo wanaonekana
 
Hadi mzigo unavyoingia kutokea Congo
 
Kuna mtu anataka tupige hizi mishe za vitenge kwa kufaulisha mzigo kidogo kidogo! Af sio mbali ni distance ya 15 kms tu ila hela ni ndefu!! Nachohofia pick up yangu nnavyoipenda,siku ikidakwa si wanaweza kuitaifisha? Daah mtihani huu na hela ipo nje nje yani!! Nimemwambia ngoja mwaka uishe niendelee kutafakari whether nijilipue au nikaushe tu!! Dooh
 
Wakiidaka anua tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…