Ila ukifika dar polisi lazima wakudai risiti. Kama huna wanasema ni mali ya wizi hadi utoe ya kiwikusafirisha unaongea na makonda wa mabasi kama Saratoga au adventure hizi gari hupiga route za Dar kigoma ni rahisi kusafiri na mzigo hasa wkend days watakuchaji kwa boksi na mzigo wako utafika salama lkn uwe na uhakika wa njia yako
jitoe ufahamu siku ya kwanza na usiende kununua wala kuanza biashara anza kuangalia a to z.kisha ukipata kujua ufanye wewe kama wewe,hapa kila mtu hatajifanya mjasilia maliWenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
Ulishaanza kununua Vitenge?Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
Jmn natamani ungenisaidia namba ya mwenye Lori hta mmoja yaani nashida hadi kwny utosi namba yngu hyo 0786106281Dada siku izi biashara yataka ujanja na ina ujanja mwingi sana ukienda kwa pupa hivo vitenge utaviacha munzani......
Nimeona mtu kakushauri nenda mwenyewe fanya utafiti na mm nakushauri hivo.
Na ukitaka biashara biashara yako ya vitenge tumia malori kusafirishia Sababu kwenye bus ni lazima watakuchoma na hio gharama yake unaweza ukawaachia tu!!
Ushauri
K/koo ukiingia kwenye maduka ya jumla kuna vitenge vizuri na copy ni nyingi naona wadada wa mjini ndo wanaviuza insta!! Na huko burundi rwanda kigoma angalia sana wakiona hujui vitenge wanakuuzia feki inayofanana na original kwenye soko itakupa shida ukikutana na mteja anaejua vitenge.
Kila la heri katika mipango yako..
usithubutuNinaona unaweza kwenda mpaka Uvira Congo
Niunganishe momNinanunua Holland Vlisco wanakutumia cargo wenyewe
Nakuomba tutaftane plz plz plz namba yngu hyo 0786106281Huwa tunatoa burundi
Na mm piaNiunganishe mom
Niunganishe na mm plzNimefanya biashara hii ,
Unachukua mzigo burundi to drc kwa bei chee kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji15] [emoji15] [emoji15]