The easiest way ni Burundi.Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
)Pair ndo ukikata wapata vitenge viwili?20,000 kwa pair moja?
Yes yes.Huku ndiyo tunauziwa 50-45,000
Milioni 2 mtaji unaweza kutosha na nauli na malazi?[/QUOTE
Milioni 2 mtaji unaweza kutosha na nauli na malazi?
Hiyo ni bei ya Katoro Geita kwingine sijuiJirani ni bei gani yaani pic 6 na pic 3?
'Huku' ni wapi mkuu...?Huku ndiyo tunauziwa 50-45,000
"Itapendeza zaidi" changamkia fursa.Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?