Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,023
- 8,399
Wakuu habari ,
Nahitaji ushauri ninataka kuanzisha biashara ya pombe kali na pombe laini lakini za kuimport kama brutal, mliotembea ni pombe ipi nikiileta Tanzania naweza kupata faida na kukuza biashara ?
Je naweza kupata nafasi ya kuingiza brutal ilihali kuna mtu mwingine anaingiza? Au bidhaa ikishakuwa na agent hakuna mwingine anayeruhusiwa.
Kuna meng sana ya kujifunza.
Hebu fanya research na home work yako vizuri.
Nenda kwa zile depo kubwa . Anza kudodosa. Mdogo mdogo utapata info zitakazokusaidia kwenye Lengo lako.
Lakin niulize tu. Why umeamua kuimport? Unahisi brand ngap utaimport?.