Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Mkuu [Mtanganyika] upo wapi? Bongo? Kakaangu ana kampuni ya ujenzi class six, cashflow yake itakuwa just above 50M per annum; kama upo dar naweza kuwaunganisha!!
 
Papa Diana asante kwa info, sipo Tanzania, lakini nitakuwepo nchini in week 4. Naomba mawasiliano yako inbox.

Thanks.
 
Wale walio interested kwenye hii biashara tunaweza kukutana jumapili tarehe 13 February 2011? Naomba mawazo yenu
 
Anahitajika mtu ambaye yupo tayari kuingia ubia katika kufanya biashara ya vifaa vya ujenzi kwa Dar es salaam.

Nipo interested, ni-PM with details, nitakuwa Dar tarehe 10 March, nitumie na contacts zako zote tuwasiliane zaidi
 
Habari Wakuu,

Nataka nianze biashara ya Hard Ware. Ninaomba wenye uelewa wanishauri ni kiasi gani kinatakiwa kama mtaji na vitu vya kuzingatia.

Nawasilisha.
 
Kwa ufahamu na mtazamo wangu… Hardware ni moja ya Biashara ambayo haitakiwi kukurupuka na ni moja ya Biashara ambayo haitaki uwe na mtaji mdogo. Sio biashara ya kubahatisha kwa kuweka mtaji mdogo kwa malengo ya kuongeza as time goes on kama zengine.

Ukijaribu kuangalia utakuta kuwa wale ambao walifungua hardware ndogo wengi sana huishia njiani na kushindwa kuendelea huku pesa ikiwa imepotea. Waliofanikiwa katika hardware ni wenye mitaji mikubwa… Kila kitu kinakuwepo hapo, kiasi kwamba anaingia hata contracts za vifaa na building Contractors, wateja wao hujirudia dukani kwao wakianza ujenzi wa nyumba zao hadi kumaliza (coz everything is there) na kwa kiasi kikubwa flow ya mzigo kutoka ni kubwa.

Ukitaka Biashara ya Hardware haya ndiyo ya kuzingatia;

1. Hakikisha una mtaji mkubwa walau milioni 30 ndiyo iwe minimum.
2. Hakikisha kuwa hiyo hardware yako ina variety ya vifaa sababu hio ndio huvuta pawe na wateja. Wateja wengi wa hardware anataka kila kitu akikute mahala pamoja hasa vya msingi.
3. Kama uwezo wako ni mdogo usiguse vitu vikubwa kama nondo, mabati, cement, Chokaa n.k sababu vinahitaji mtaji mkubwa na hivo duka lako linaweza kupwaya.
4. Kama unaipenda saana biashara na una mtaji mdogo basi jitahidi u-specify katika vifaa vya umeme na mabomba tu! Ili ionekane bidhaa zako ni hizo huku wewe ukihakikisha kuwa unavyo kila kifaa kinachohusiana na umeme na mabomba (yaani ya maji… toka PVCs, taps, Stabilizer rs n.k)

P.S: Zingatia kuwa haya ni mawazo yangu hivo pia naweza kuwa nimekosea… Wazoefu katika hii biashara waweza kutudadafulia zaidi. Kila la kheri mkuu…
 
AshaDii thanks kwa mawazo mazuri! Vp wewe uko kwenye hii biashara ili tuwe tunaconsult tukishajitosa?
 
Hapana mkuu... sipo kwenye hii biashara ila nina uzoefu kidogo saana juu yake. Hivo basics za nini cha kuzingatia wakati wa kutaka kuanza, wapi mzigo ni rahisi zaidi na namna gani wewe unaweza nunua bei ya juu/chini kuliko wengine eneo moja, nini cha kuzingatia kwa ajii ya wateja wako, the do's and don'ts za biashara, namna ya kuboresha na mambo ya kufanania hivo naweza kukujibu... Kwa kina zaidi itahitaji mzoefu.

Hata hivo nashukuru kwa acknowledgements.
 
Nina mtizamo tofauti kwa sababu niliifanya biashara hii kwa kudhani kama ulichokiandika hapa, watu wengi wanasahau specialization kwenye bidhaa fulani ambayo itakufanya kuwa competitive. Wanunuzi wengi wa vifaa vya ujenzi wako sensitive sana kwenye price, yuko radhi anunue mbao hapa then aende kununua bati sehemu nyingine ili mradi tu asevu TZS 30K ambayo ataiongezea kwenye usafiri.

Kwa hivyo mkuu what matters ni location nzuri, specialise kwenye bidhaa ambazo utazimudu. Mfano waweza ku- specialise kwenye vifaa vya umeme tu. kiasi kwamba mtu akifikia wakati wa kufanya wiring anakuja kwako na unamuuzia kila kitu anachohitaji kwa ajili ya wiring. General merchandise inatesa sana kwa start-up, na mara nyingi huwa sishauri mtu atupe pesa nyingi kwa biashara changa. You have to start small, huku ukiangalia ni jinsi gani unazitatua changamoto unazokumbana nazo taratiitu.

Kwa ufahamu na mtazamo wangu… Hardware ni moja ya Biashara ambayo haitakiwi kukurupuka na ni moja ya Biashara ambayo haitaki uwe na mtaji mdogo. Sio biashara ya kubahatisha kwa kuweka mtaji mdogo kwa malengo ya kuongeza as time goes on kama zengine.

Ukijaribu kuangalia utakuta kuwa wale ambao walifungua hardware ndogo wengi sana huishia njiani na kushindwa kuendelea huku pesa ikiwa imepotea. Waliofanikiwa katika hardware ni wenye mitaji mikubwa… Kila kitu kinakuwepo hapo, kiasi kwamba anaingia hata contracts za vifaa na building Contractors, wateja wao hujirudia dukani kwao wakianza ujenzi wa nyumba zao hadi kumaliza (coz everything is there) na kwa kiasi kikubwa flow ya mzigo kutoka ni kubwa.

Ukitaka Biashara ya Hardware haya ndiyo ya kuzingatia;

1. Hakikisha una mtaji mkubwa walau milioni 30 ndiyo iwe minimum.
2. Hakikisha kuwa hiyo hardware yako ina variety ya vifaa sababu hio ndio huvuta pawe na wateja. Wateja wengi wa hardware anataka kila kitu akikute mahala pamoja hasa vya msingi.
3. Kama uwezo wako ni mdogo usiguse vitu vikubwa kama nondo, mabati, cement, Chokaa n.k sababu vinahitaji mtaji mkubwa na hivo duka lako linaweza kupwaya.
4. Kama unaipenda saana biashara na una mtaji mdogo basi jitahidi u-specify katika vifaa vya umeme na mabomba tu! Ili ionekane bidhaa zako ni hizo huku wewe ukihakikisha kuwa unavyo kila kifaa kinachohusiana na umeme na mabomba (yaani ya maji… toka PVCs, taps, Stabilizer rs n.k)

P.S: Zingatia kuwa haya ni mawazo yangu hivo pia naweza kuwa nimekosea… Wazoefu katika hii biashara waweza kutudadafulia zaidi. Kila la kheri mkuu…
 
all the best mkuu nakushauri uangalie na suala la usafiri pamoja na TRA. Ni maadui wakubwa wa biashara za hardware. wana perception mbaya sana towards this kind of business. So watajitahidi waku-drain to the maximum. Mimi narudi kwenye hii business karibuni, nimeshajipanga vya kutosha. Na nilipata mafunzo mengi sana kipindi kile naanza ku-run hii business hadi nilipokumbana na issues zilizonifanya kwanza nitulize mpira ili nijipange upya.
Nazidi kukusisitiza usiweke pesa nyingi sana kwenye hii business mwanzoni, tafadhali anza taratibu.

Ooh nimekumbuka trick nyingine ni kwenye manunuzi, hapa ndo panawafanya watu wengi wafeli biashara. Information is power siku zote, sasa nakushauri usiwe na papara kwenye manunuzi ya mzigo. Kariakoo kuna wahuni wengi wanaonunua mzigo mlango huu na kupeleka mlango ule huku wakijifanya wao ni importers hivyo wanauza kwa jumla. Fanya research mkuu, faida ya duka la hardware inatokana na jinsi gani unafanya manunuzi yako.

Kingine, kwenye duka la hardware unajua kwamba kuna fast and slow moving items? sasa usiombe ukawa na slow moving items ambazo ni expensive hata mtu huwa haji kuziulizia, utafunga working capital yako muda mrefu .......so jua mahitaji ya eneo husika ( frequently asked items).

utanisamehe kwa spelling error, naandika kwa kasi sana.

Asanten sana kwa michango yenu.
 
Nina mtizamo tofauti kwa sababu niliifanya biashara hii kwa kudhani kama ulichokiandika hapa, watu wengi wanasahau specialization kwenye bidhaa fulani ambayo itakufanya kuwa competitive. Wanunuzi wengi wa vifaa vya ujenzi wako sensitive sana kwenye price, yuko radhi anunue mbao hapa then aende kununua bati sehemu nyingine ili mradi tu asevu TZS 30K ambayo ataiongezea kwenye usafiri.

Kwa hivyo mkuu what matters ni location nzuri, specialise kwenye bidhaa ambazo utazimudu. Mfano waweza ku- specialise kwenye vifaa vya umeme tu. kiasi kwamba mtu akifikia wakati wa kufanya wiring anakuja kwako na unamuuzia kila kitu anachohitaji kwa ajili ya wiring. General merchandise inatesa sana kwa start-up, na mara nyingi huwa sishauri mtu atupe pesa nyingi kwa biashara changa. You have to start small, huku ukiangalia ni jinsi gani unazitatua changamoto unazokumbana nazo taratiitu.

Sijuia kama sijakusoma vema… Ila naona umeeleza yale ambayo pia nimegusia. Nimesema kuwa its really expensive kuanza general merchandise na pia recommended on specialization which I see you agree with too… Leaving a space of error by allowing wazoefu like you to add up some more…

Nimesoma post zako zote mbili… Na zimekuwa of benefit kwangu for nimeongeza kitu pia.
 
Thanks Mkuu, pamoja sana...........to be honesty sikutulia kwenye kusoma post yako kwa umakini. Lakini nimejifunza mengi pia baada ya kuisoma kwa umakini.
Sijuia kama sijakusoma vema… Ila naona umeeleza yale ambayo pia nimegusia. Nimesema kuwa its really expensive kuanza general merchandise na pia recommended on specialization which I see you agree with too… Leaving a space of error by allowing wazoefu like you to add up some more…

Nimesoma post zako zote mbili… Na zimekuwa of benefit kwangu for nimeongeza kitu pia.
 
all the best mkuu nakushauri uangalie na suala la usafiri pamoja na TRA. Ni maadui wakubwa wa biashara za hardware. wana perception mbaya sana towa rds this kind of business. So watajitahidi waku-drain to the maximum. Mimi narudi kwenye hii business karibuni, nimeshajipanga vya kutosha. Na nilipata mafunzo mengi sana kipindi kile naanza ku-run hii business hadi nilipokumbana na issues zilizonifanya kwanza nitulize mpira ili nijipange upya.
Nazidi kukusisitiza usiweke pesa nyingi sana kwenye hii business mwanzoni, tafadhali anza taratibu.

Ooh nimekumbuka trick nyingine ni kwenye manunuzi, hapa ndo panawafanya watu wengi wafeli biashara. Information is power siku zote, sasa nakushauri usiwe na papara kwenye manunuzi ya mzigo. Kariakoo kuna wahuni wengi wanaonunua mzigo mlango huu na kupeleka mlango ule huku wakijifanya wao ni importers hivyo wanauza kwa jumla. Fanya research mkuu, faida ya duka la hardware inatokana na jinsi gani unafanya manunuzi yako.

Kingine, kwenye duka la hardware unajua kwamba kuna fast and slow moving items? sasa usiombe ukawa na slow moving items ambazo ni expensive hata mtu huwa haji kuziulizia, utafunga working capital yako muda mrefu .......so jua mahitaji ya eneo husika ( frequently asked items).

utanisamehe kwa spelling error, naandika kwa kasi sana.

HAKIKA HAPO PENYE RED NDIO UKWELI,,, TRA wana mtazamo mbaya sana kwenye Hardware, na wamefilisi watu wengi sana....
 
Wadau mi nataka kujua kuhusu kufanya biashara ya cement kutoka nje ya nchi, process yake, unalipia vibali gani na unatakiwa uwe na nini na faida ikoje, asanteni
 
Ntakupa maelezo mazuri sana kama ukiwa serious yatakusaidia.

Mimi naishi dubai huu ni mwaka wa 6 sasa, siku moja nikiwa likizo Tz niliona maduka mengi yakiwa na cement toka arabuni na pakistan. Wale watu wanapata faida kubwa sana. Mfuko mmoja wa kiwango cha juu kuununua na kuutuma mpaka port Dar itakugharimu kama Tsh 3500, sasa tatizo ni kwenye kuutoa.

Kipindi kile ufisadi bandarini ulikuwa mkubwa wakanisumbua sana japo nilikuwa na mifuko 100 tu kwa ajiri ya kibanda changu. Pia TBS watachukua mfuko mmoja ili kupima ubora na gharama ilikuwa TSH 20,000. Ilikuwa mwaka jana, sijuhi kwa sasa. Homework unayotakiwa kuifanya ni kutafuta agent mzuri mwenye ofisi na umwulize process ya utoaji ilivyo.

Navyojua chaji za TRA si kubwa sana ila bandarini walinisumbua. Nina hakika kuna faida kubwa sana kama ukijua utoaji bandarini ulivyo na utapata faida kubwa zaidi kama utanunua mzigo mkubwa.

Nakutakia kila la kheri gharama za ujenzi kwa wenzetu huku ni ndogo sana ila wana tatizo la plots za kujengea. Sisi tatizo ni gharama za vifaa vya ujenzi wakati maeneo tunayo.

Karibu sana najisikia vizuri nionapo mtu anatafuta maisha.
 
Back
Top Bottom