Biashara ya viazi vya chipsi kutoka mikoani kuja dar

Rosicky

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
1,159
1,944
Habarini
Katika harakati za kutafuta maisha nimepata wazo la kufanya biashara ya viazi ulaya dar, kwa sababu moja kuu dar kuna high demand ya viazi ulaya kwa mahitaji ya chips na kadhalika

Jf kuna watu wengi sana wenye ujuzi na maarifa ya hii biashara ninayotaka kuiendea sio mbaya ukinisaidia kwa ushauri na mapendekezo ya msingi ya kuweza kuimudu hii biashara."Sharing is caring"
Pia kama unawazo tofauti na langu feel free kusema the door is open, wanadamu tunaishi kwa kutegemeana.

My take
Ningependa kufahamu sehemu ninayoweza kupata mzigo mzuri na bei yake??
Gharama ya usafiri na vibali vya usafirishaji kama vinahitajika??
Changamoto zilizopo kwenye hii biashara??

N.B Wasomi tumeambiwa tujiajiri mimi ni nani hata nipinge.
 
Hapa utapata hints,chukua muda wako Fanya utafiti nenda kwenye masoko kama mambibo update ABC zake nenda maeneo ya uzalishaji kama Njombe&Mbeya pata maelezo kidha nenda kwa wasafirishaji madereva was malori napo upate ABC.
Duniani tunaishi kwa research,na hizo tafitu ndio zitakupa mwanga.
 
Back
Top Bottom