Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

mkuu kwanza hongera kwa ubunifu.
Lakin tuongee uhalisia hivi ni kweli unauza kila siku? na kila siku hiyo 20++ inaingia?
 
mkuu kwanza hongera kwa ubunifu.
Lakin tuongee uhalisia hivi ni kweli unauza kila siku? na kila siku hiyo 20++ inaingia?
Akuna biashara ya hivyo boss ipo siku atapata 2000 ipo siku atapata 20000 ipo siku atapata 40000 ipo siku akuna kabisa ayo ndio maisha ya biashara boss usiingie kwa kufikiri kila siku utapata faida tu

Ipo siku utapata hasara kubwa paka mwenyewe unashangaa mwenyewe biashara ngumu sana ili utoboe inakupasa kuwa na imani malengo na uvumilivu wa hali ya juu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
hapo sawa nimekuelewa mkuu..
jamaa amesema kwa siku anaingiza 20000 au 30000 nikashangaa sana
 
Hii comment ilitakiwa iwe uzi kabisa.
 
Unachukua moshi sehemu gani mkuu.
 
Biashara ya viatu nyoko sana mi nilinunua kiatu kwa chinga alianzia elfu 25 nilikua sitaki tu kununha ila ningekua na hela ningempa...akanikazia nikaishia kumpa elfu 10 nikaona nimempiga.Siku nimeenda karume kwa ishu zingine nikakuta wanafungua mabelo kucheki mzee vinauzwa elfu tatu hadi elfu tano top.

Na kiatu hichohicho ukienda makumbusho wanauza elfu 30 kudadadeki msiwadharau machinga watembeza viatu wanapiga hela mazee imagine elfu 10 mtaji pair 3 na ukiuza kwa haraka ndo unalamba elfu 30 , japo vingi wanaanzia bei ya juu akiuza elfu 10 unaona umempiga.

Sijui graduates tunafeli wapi mitaji inaishia kwenye simu na bundle insta afu tunasubiria ajira for f**ng 5 years in vain
 
Umeongea kama vile ni rahisi sana mzeee
 
naomba connection ya viatu vya mtumba daressalaam wanapochana mabelo mzee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…