Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,354
Kwa miamala ya kibank wateja huwa nawajazia fomu za bank husika nabaki na copy na miamala ya simu huwa siandikishi ....nakua makini kwa kila hatua ya kufanya muamala napesa cash mtu anapotoa lakini nikipiga hesabu jioni hasara inakuwa ipoSi mnapata statement ..weka utaratibu wa kuandika unachopata na kutoa
Mfanoo...andika (DR) zote ulizotoa..ulizolipa cash
Kisha (CR) kwa ulizo ingiza (pokea)
Uwe na daftali
Baadaye piga hesabu ya toatl kwa kila muamala utajua kosa lipo wapi...badaye unavuta statement ya siku utaona makosa yako na kama umelipa vibaya utaona
Wakina nani ndugu naomba ufafanuziJikague..hawatoki mbali
Kama mko na wengine huenda wanakuibia. ..au unajichanganya mwenyewe(Kama uko alone)Wakina nani ndugu naomba ufafanuzi
Wewe ni mbishi. Jaribu kufuata ushauri wa kuwa na daftari halafu uone matokeo.Kwa miamala ya kibank wateja huwa nawajazia fomu za bank husika nabaki na copy na miamala ya simu huwa siandikishi ....nakua makini kwa kila hatua ya kufanya muamala napesa cash mtu anapotoa lakini nikipiga hesabu jioni hasara inakuwa ipo
Itakuwa wazee wa "Ndele" wanapita na mashuka ya Mmasai! Muda wa kufanya kazi na wazee wa Bagamoyo umewadia. Biashara ni ngumu sana kibongobongo maana kanuni za vitabuni pekee hazitoshi. Lazma uende nje ya box kistaili. Wanasema vipande vya mkaa kwenye droo ya pesa husaidia.Kwa miamala ya kibank wateja huwa nawajazia fomu za bank husika nabaki na copy na miamala ya simu huwa siandikishi ....nakua makini kwa kila hatua ya kufanya muamala napesa cash mtu anapotoa lakini nikipiga hesabu jioni hasara inakuwa ipo
Nipo na binti mmoja lakini sijamfikiria...maana nimtu kashika dini sanaKama mko na wengine huenda wanakuibia. ..au unajichanganya mwenyewe(Kama uko alone)
Sawa sawa nitafanya hivyoWewe ni mbishi. Jaribu kufuata ushauri wa kuwa na daftari halafu uone matokeo.
Itakuwa wazee wa "Ndele" wanapita na mashuka ya Mmasai! Muda wa kufanya kazi na wazee wa Bagamoyo umewadia. Biashara ni ngumu sana kibongobongo maana kanuni za vitabuni pekee hazitoshi. Lazma uende nje ya box kistaili. Wanasema vipande vya mkaa kwenye droo ya pesa husaidia.
Uko vizuri mkuuππππCase closed!
Ongezea ndimu au limao kwenye droo au chombo uwekacho pesa.
Mimi siyo mshirikina ila inenaisaidia baada ya kupoteza elfu 10 kimaajabu
Hata Gwajima ni askofu. Bashite ni mshika dini. Magu kiongozi wa malaika mtarajiwa na msemakweli mpenzi wa Mungu.Nipo na binti mmoja lakini sijamfikiria ..maana nimtu kashika dini sana
Asante. Nitajaribu kuweka mkaaItakuwa wazee wa "Ndele" wanapita na mashuka ya Mmasai! Muda wa kufanya kazi na wazee wa Bagamoyo umewadia. Biashara ni ngumu sana kibongobongo maana kanuni za vitabuni pekee hazitoshi. Lazma uende nje ya box kistaili. Wanasema vipande vya mkaa kwenye droo ya pesa husaidia.
Shukrani ..nitafanya hivyoPole sana,waulize ma teller wa kwenye mabenki wanavyokula shot na kuishi kwa madeni kisa ni nini!Ombea hiyo sehemu yako kila unapofungua,omba kwa kumaanisha ili uvunje nguvu za giza vinginevyo utaendelea kulia kila siku na kuona biashara hailipi...
AsanteCase closed!
Ongezea ndimu au limao kwenye droo au chombo uwekacho pesa.
Mimi siyo mshirikina ila inenaisaidia baada ya kupoteza elfu 10 kimaajabu