Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,739
Nadhani hawa huwa ni wanufaika katika anguko la Shirika kukodisha ndege.Umechukia mno ndege kununuliwa! Unadhani hatuna haja ya kuwa na ndege??
Au unashauri watanzania tusiwe tunapanda ndege kabisa!??
Kati ya tajiri na maskini unamuiga nani ? Ili kuendesha maisha yako na biasharaKwa hiyo USA wakifanya jambo ndio waigwe
Nadhani hawa huwa ni wanufaika katika anguko la Shirika kukodisha ndege.
Umakaa kabisa na wewe unachangia mada hata ulichokiongea ujui unachangia nini?Mtoa mada upuuzi wako huu umevuka mipaka! 😂
Au hujasoma kabisa hata sekondari , wenzio waliosoma Jiografia walikutana mpaka na maswali ya NECTA kwenye essay kuhusu faida za transport and communication.
Unatia huruma sana wewe! Hata kama ulisoma basi ulikua mtoro mpaka ulipofeli na kupata zero
Aliyenunua zile ndege alijenga viwanja vya ndege pia fly over, aliboresha bus stands na masoko ya kuuzia bidhaa, pia alianza na mikakati ya kutengeneza bwawa la kuzalisha umeme
Lakini kubwa hukujua lengo lake kubwa baadae amalizane na Viwanda kwa kukamilisha hayo
Sasa wewe mlevi unaongea nini tukuelewe😁
Nilichogundua serikali ya tanzania inaogopa changamoto kibiashara kwenye utendaji na ndio maana nikatoa wazo ni bora kuruhusu wawekazaji wa usafiri ndani na yenyewe kudili na viwanja.Tatizo la Tanzania ilikuwa ni kukosekana kwa carrier mwenye uwezo, alikuwepo Fastjet bei zake zilikuwa nzuri ila ilikuwa na matatizo yake mengi ie uchelewaji.
Kwanza wewe naona tutapata tabu kukuelezea faida za ndegeumakaa kabisa na wewe unachangia mada hata ulichokiongea ujui unachangia nini?.
ulishawai hata kusafiri kuvuka mipaka yako ya nchi ukajionea sekta ya usafiri wa anga ulivyo kwa nchi kubwa.ndege utaisikia tena ukipanda basi ni mikoa michache itakayo kufikia kuwa na viwanja.
wewe ulisoma wapi kwamba kujibu unaanza na matusi na vyeo kusoma
tabu unapata wewe ambaye hupo hupo kuto kujibu unacho kiona unajua.Kwanza wewe naona tutapata tabu kukuelezea faida za ndege
Wakati walimu wako walishindwa kukufundisha kutokana na ubishi wako
Leo hii unataka ufanane na USA kisa yeye hafanyi kitu fulani nawe ufuate
Tanzania ni nchi inayoendelea na USA ni nchi iliyoendelea tayari hivyo tunahitaji ndege katika kukuza utalii, usafirishaji wa bidhaa pamoja na wafanya biashara kutoka mataifa mbalimbali kuzidi kukuza uchumi
Sasa wewe hoja yako ndio haieleweki ?unakuja kubwabwaja tu ooh sijui USA ooh sijui biashara kichaa😂
Ongea fact tukuelewe
Kwanza wewe naona tutapata tabu kukuelezea faida za ndege
Wakati walimu wako walishindwa kukufundisha kutokana na ubishi wako
Leo hii unataka ufanane na USA kisa yeye hafanyi kitu fulani nawe ufuate
Tanzania ni nchi inayoendelea na USA ni nchi iliyoendelea tayari hivyo tunahitaji ndege katika kukuza utalii, usafirishaji wa bidhaa pamoja na wafanya biashara kutoka mataifa mbalimbali kuzidi kukuza uchumi
Sasa wewe hoja yako ndio haieleweki ?unakuja kubwabwaja tu ooh sijui USA ooh sijui biashara kichaa😂
Ongea fact tukuelewe
Biashara haiigwi bali unatakiwa ufanyeKati ya tajiri na maskini unamuiga nani ? Ili kuendesha maisha yako na biashara