Biashara ya Unyani |Biashara ya Manyani

Biashara ya Unyani |Biashara ya Manyani

gabylovestech

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
20
Reaction score
50
Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO unalotatua..

Hii Narrative ni nzuri ila inaua ubunifu na vijana wanashindwa kufikiri “sio tu NJE YA BOX, hawaezi fikiri kana kwamba HAKUNA BOX

Ukweli ni kwamba kila mtu ana Tatizo analosolve, whether kwa udogo au ukubwa kimantiki.

Njia rahisi ni kutengeneza Tatizo, na kuuza solutions na sio kuSolve existing problem(s)
Kwanini nimeita biashara ya Unyani?

Ukienda Mbeya ndani ndani huko anatokea mamangu kunaitwa TUKUYU
Yes!
Asa kulikua na Nyani zinakula sana mazao yaani wanakijiji wamechoka balaa. Akatokea mzungu akasema nanunua nyani 50,000 Tshs.
Aanh wanyakyusa wakasema hawa nyani kibao wanatusumbua hapa jamaa anataka kunnua😂

Mzungu anatoboka tu pesa ananunua.

Nyani wanazidi kuadimika. Akasema msijali nitanunua kwa 80,000. Wanyakyusa wanachanganyikiwa kubabake, wanakomaa kupata nyani wauze 80k. Hadi nyani zikaisha, yaani kila mtu anauliza jirani hapati.

Usiku wa mzungu kutoboa ukafika.
Akatafuta mchizi kijijini akala nae DEAL.

Akamwambia oyah nakupa hawa nyani nataka laki1 tu kwa kila Nyani, Halafu huku akatangaza ananunua nyani kwa 250k deadline saa 12 jioni. Hahaha!

Basi wanahangaika wakaja kujua kuna mwana mmoja anao nyani wengi lakini bei yake laki.

Aaanh wakifikiria hapo selling price 250k , margin ya 150k yote wakasema lazima tutajirike leo😂Wakanunua kwa laki laki. Ile kugombana paap saa 12 ikafika. Mzungu akasema sinunui nyani Tena. Akabeba michuzi akahepa

Ukitaka kupata Hela, SOLVE TATIZO. Ukitaka kupata Pesa nyingi, TENGENEZA TATIZO , HALAFU Li-SOLVE
Ndio hivyo Copywriters na some marketing Gurus wanafanya.
Ndio hivyo Monopoly wanafanya.
Ndio hivo UN wanafanya, mabepari wanafanya.
Nachelea kusema hata serikali wanafanya. Mfano me ni serikali nawaza “
Hawa Hawkers / machinga wamezidi sana humu barabarani.
Sasa hawa tunapataje hela yao?

Tatizo tushatengeneza, hawana maeneo maalumu ya kazi, tunawapiga virungu na mgambo, etc
Tuwatengenezee
Viparata/ kitambulisho walipe Tshs kadhaa. Ukiwa nacho usisumbuliwe.

Paaap serikali X inakusanya Bil20 first week😂😂
 
Hata religions zinafuata njia hii hii mkuu.
Asante kwa andiko lako
 
Back
Top Bottom