shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 64
Hi wanajamvi.Hii ni post yangu ya kwanza kwenye jukwaa la ujasilimia mali bt nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa mda mrefu.Mimi ni kijana wa kitanzania niliyemaliza chuo kikuu k1 huko moro na ninaishi ukanda wa ziwa tanganyika.Leo la kuandika post hii ni kuwaomba ushauri juu ya biashara ya kuuza unga wa mahindi nchini kongo 7bu ni karibu na mkoa ninapoishi.Je nifanyaje ili nifanikishe hii biashara?Mtaji ninao ila cna nijuacho kuhusu hii biashara.Naomba mnishauri wanajamvi nianzie wapi?Naomba mawazo na mwongozo wenu

Mimi nikushauri hivi, kama una mtaji mzuri kama ulivyosema, nenda Rukwa/Katavi jenga ghala/Store kisha karibu na hapo gharani kwako weka mashine ndogo ya kusaga na kukoboa. Sasa wakati wa mavuno unakusanya mahindi ya kutosha, msimu mzuri unaanza kukoboa na kusagisha nafaka zako ili hawa Wakongo wanunue unga wenye brand yako (utauita jf super sembe !!!!) kupitia bandari ya Kasanga au unapeleka mwenyewe kwa watoto wa Satta kupitia bandari ya Kasanga na Mpulungu. Jaribu wazo hili uone kaka.

nimeona mkongo mmoja anatengenezesha vinu saba vya kusaga mahindi pale sinza makaburini avipeleke congo kuanza biashara .... hii inaashiria kwamba na wao wanaanza kuamka .... hapa nataka kukutahadharisha kuangalia future ya hii biashara kabla haujaingiza mtaji ... jiridhishe kwanza
Wakongo mara nyingi ni watu wenye hila nyingi katika biashara,kuwa mwangalifu nao.
NI kweli, hawa jamaa ni trickster. Mimi waliniliza kilo nne za madini ya rhodolite almanusra niwe mwehuWakongo mara nyingi ni watu wenye hila nyingi katika biashara,kuwa mwangalifu nao.
Kaka biashara ya unga ni nzuli, inalipa na haipitwi na wakati. Soko si lazima liwe Kongo tu, cha kufanya ni kuwa na ghala zako za mahindi na mshine za kusaga unga mzuri hapa nchini, kisha unapeleka unga masokoni tokea hapo. Njaa iko Kenya, Somalia, Ethiopia n.k. itakulipa bila shaka. kaza msuli. Kila la kheri bro!!
Vipi mdau...ulifanikiwa kuanza hii biashara?Nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi bro