Biashara kichaa hiyo
IST Bei yake ni mil 13
Hesabu kwa wiki 140,000
Kwa siku maana yake ni 20,000
Mil 13 ni sawa na bodaboda 6
Bidaboda ikiwa mpya hesabu yake ni 7,000 kwa siku
Zikiwa 6 inakua jumla ya 42,000
Sasa si bora nifanye biashara ya bodaboda kuliko IST