Biashara ya taxi naomba ushauri

the american dream

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,761
832
Wakuu za mchana!Nilikuwa naomba ushauri kuhusu biashara ya taxi hapa downtown, Kodi zake,rehabilitation,hesabu kwa wiki na je inalipa naomba msaada wenu!
 
Kaka hata macho huna maeneo Mengi tax zimeshaondoka watu wameuza magari boda na bajaj Zimechukua nafasi labda upate nafasi airport
 
Back
Top Bottom