Biashara ya Spare za Pikipiki na Bajaj

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Wana JF ninataka kujau zaidi kuhusu hii biashara kwa wanaofanya hii biashara
Vipi inahitaji kama mtaji wa sh ngapi kuanzia?
Maeneo mazuri kwa Dar es salaam ni wapi?
Changamoto zake kubwa ni zipi?
Please advice
 
kuna dada mmoja anafanya hii biashara na ana duka mitaa ya kkoo Dar.
Natafuta namba yake nikurushie akupe technicalities za hii makitu
 
kuna dada mmoja anafanya hii biashara na ana duka mitaa ya kkoo Dar.
Natafuta namba yake nikurushie akupe technicalities za hii makitu

Ila usije kuishia mtongoza tu. manake vijana wa siku hizi mna gia kali kuliko manual cars.
 
Mkuu hekimatele kwanini usimkaribishe huyo dada hapa jamvini ili atu mwagie maujuzi naimani wengi watafaidika
 
Last edited by a moderator:
ukishapata ma info yakutosha kuhusu hiyo biznari usisahau kuja kutumwagia mchele jamaa
 
nachozani ili biashara hii iwe nzuri ni vyema hapo dukani kuwe na sehemu ya kutengeneza(gereji) hizo pikipiki. Hii itakurahisishia kupata wateja kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom