BIASHARA YA SIMU

BIASHARA YA SIMU

mjasiliamali makini

Senior Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
105
Reaction score
134
Wana jamii folum tafadhali msaada nataka mwakani kuanzisha bihashara yakuuza simu nipo Dar es salaam, je niwapi naweza kupata simu za jumla na je kuna faida katika bihashara hiyo?,na je naweza kuagiza kutoka nje?,msaada wenu ndugu zangu.
 
Hujasema unauza jumla au rejareja, lakini pia kama utauza used au la, dar kubwa , ni eneo lipi haswa ili watu wakusaidie
 
Wana jamii folum tafadhali msaada nataka mwakani kuanzisha bihashara yakuuza simu nipo Dar es salaam, je niwapi naweza kupata simu za jumla na je kuna faida katika bihashara hiyo?,na je naweza kuagiza kutoka nje?,msaada wenu ndugu zangu.

nenda hong kong au shangai utapata simu nzuri zilizo na kiwango.ila jipange kipesa
 
Back
Top Bottom