kuna jamaa mmoja wa tabora aliuza nyumba 7 million,akaenda nairobi kununua simu,wale wasomali wa nairobi wakambadilishia box walilompakia simu zake,wakati tunamkagua boarder akatuambia kuna simu ,kufungua tukakuta maganda ya simu. mzee alilia kama mtoto mdogo mpaka akapoteza fahamu,akawa kila akiamka anaangalia box na kupoteza fahamu tena