Biashara ya shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya shule

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by marandu2010, Aug 7, 2010.

 1. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Habari wakuu,ninaamini hapa ni home of great thinkers kwelikweli,wtu wenye mawazo mazuri sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katk jamii,kwa sababu hiyo ninaomba mawazo yenu kuhusu mambo yote yanayo husu biashara ya shule kuanzia taratibu za kiserikali katika uandikishaji na mapato,capital requirements na jinsi ya conduct effectively,na mambo yote mengine yanayohusu hii biashara ninayopaswa kujua.natanguliza shukurani zangu wakubwa.
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  find a good location first.then njoo hapa tukupe datas,ila angalizo,tegemea kubreak even after 5yrs,thn profits after 7years
   
 3. babalao

  babalao Forum Spammer

  #3
  Aug 14, 2010
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tafuta wataalamu wa biashara ambao wana uzoefu wa kuandaa michanganuo wenye uzoefu na sector hiyo newmzalendo anaweza kuwa mmoja wao
   
 4. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  nashukuru sana wakuu kwa mawazo yenu mazuri,nitayafanyia kazi.
  NINAOMBA MAWAZO ZAIDI KUTOKA KWA WADAU WENGINE ILI NIWE TAJIRI WA MAWAZO KATIKA HILI,,,NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU WAKUU.
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  je unataka shule ya aina gani,boarding au day school,kama ni boarding, girls tu au boys tu au mseto.ukishajua utajua ni eneo gani litakufaa,unatakiwa ujue vitu muhimu vitakavyokurahisishia kusajiliwa kwa shule yako n.k.gud lak.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  here we go again............

  shule nazo zinakuwa ni biashara.......
  suala la kutoa service na ku up lift jamii halijadiliwi......

  home of great thinkers indeed............
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Afadhali umeuliza,
  Shule zilishakuwa biashara tangu siku nyingi sana na serikali yetu kama kawaida imesinzia na kukoroma.Kufanya mitihani ya kuqualify ada, matokeo yalitoka kama hujafikia maksi fulani huchukuliwi ( pamoja na kuwa shule ni sehemu ya kujifunza ) sasa hivi shule tunazoziita nzuri sio nzuri ila tu ni sababu zinachukua wanafunzi wenye msingi mzuri.

  Ada za baadhi ya nursery schools na primary schools sasa hivi ni kubwa kuliko tuition fee ya chuo kikuu. (Justification ya hili hakuna) nakadhalika unaweza andika mpaka mkono uchoke.

  Shule kupokea ada kabla shule haijasajiliwa na mwishowe wanafunzi kushindwa kufanya mitihani .

  Matatizo no mengi sana.
   
 8. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2010
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  nashukuru kwa ushirikiano wako mzuri,,,shule ninayotaka ni boarding ili kuwaepushia wanafunzi adha za USAFIRI na kupoteza muda mwingi ambao wangeweza kuutumia kwa kujisomea na kufanya vizuri zaidi,,pia nina mpango wa kuwa na shule ya jinsia moja ama GIRLS tu au BOYS tu...lakini kwa kuanza BOYS tu...sina mpango wa shule ya mchanganyiko kabisa..

  bila shaka kwa kukujibu hivi unaweza ukanipa mawazo ya maeneo gani yanafaa zaidi,,na naomba sasa kwa wakuu wote wenye kujua taratibu za kusajili shule wanisaidie maelekezo au mawazo kuhusu hili...namalizia kwa kusema...THE MORE YOU GIVE THE MORE YOU GET EVEN MORE..asante sana
   
 9. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2010
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  asante sana mkuu,,,kwa kudokeza kipengele cha social welfare,,biashara zipo za aina mbili kwa mgawanyo huu,,,kuna biashara ya service na biashara ya bidhaa nyingine..na katika biashara lengo lake ni kupata faida,,,asikudanganye mtu,,,lengo kuu ni hilo,,isipokuwa lengo hilo ili litimie lazima ufanye kitu,,kama vile ilivyo mtaka cha uvunguni sharti ainame,,,katika elimu ya masoko(MARKETTING) ya kisasa tofauti na ya kale ni kwamba mfanyabiashara mwenye mafanikio ni yule anayeangalia kile mteja anachotaka kwa upana sana nikimaanisha UHITAJI WAKE(WILLINGNESS) na UWEZO WAKE(CAPACITY) kwa kufanya hivi ile huduma au bidhaa atakayo mpelekea mteja huyu itakuwa inaendana na uwezo wake na uhitaji wake..kwa hivyo atafanikiwa..

  uhitaji wa jamii ambao ndio wateja wa huduma hii ni mafanikio ya watoto wao kielimu na uhakika wa huduma wanayopewa ikiimaanisha iwe na risk ama ndogo sana ama hamna kabisa ya watoto wao kupiga ngumi hewani kwa kusoma muda mrefu kumbe shule haijasajiliwa.

  ni kweli lililogusiwa kwamba wapo wengi sana wanaoanzisha shule sasa hivi wanaotoa huduma mbovu kinyume na mategemeo na uhitaji wa wanajamii..lakini hii haimaanisha elimu kuwa biashara ni kitu kibaya,,,isipokuwa elimu kuwa biashara mbaya ni kitu kibaya,,,maana tukisema kwa ujumla kamba BIASHARA ni kitu kibaya tutakuwa tunakosea,,maana tutajiuliza wangapi wanaaishi hapa tu tanzania kwa kutegemea BIASHARA,,,Hatujaenda dudiani kote,,,biashara nadhani kwa mtazamo wangu ndio shughuri yenye mchango mkubwa zaidi na tija zaidi kwa maendeleo ya nchi yeyote duniani.

  ninaunga mkono kwamba elimu ni huduma kama ilivyo huduma nyingine zikiwemo za kibenki,,na kama hizi huduma nyingine zilivyo BIASHARA hasa zikifanywa na watu binafsi basi nayo elimu haizuiwi kuitwa BIASHARA,,lakini kuna BIASHARA MBAYA na BIASHARA NZURI...inakuwa mbaya pale inaposhindwa kukidhi matakwa ya wanajamii,,,na inakuwa nzuri pale inapokidhi matakwa ya wanajamii kwa mapana zaidi hata kuliko watoa huduma wengine..

  namalizia kwa kusema ELIMU KWA WATU BINAFSI NI BIASHARA lakini ili biashara hii ifanikiwe lazima matakwa ya wanajamii yawekwe mbele maana hao ndio MABOSI katika BIASHARA,,,ukiwaletea ujinga kama wanavyofanya hao mkubwa aliosema utawanyonya kwa muda mfupi lakini baadaye wote watakukimbia..

  natanguliza shukurani zangu kwa wakuu walioguswa kuliongelea hili...ASANTENI
   
Loading...