Biashara ya Shule za Awali/Chekechea

Biashara ya Shule za Awali/Chekechea

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
900
Reaction score
431
Tafadhali mwenye ujuzi na uzohefu wa hii biashara naomba mwongozo,ikiwa ni pamoja na ni wapi unaenda kuzisajili?
Asante wanajamvi
 
Tafadhali mwenye ujuzi na uzohefu wa hii biashara naomba mwongozo,ikiwa ni pamoja na ni wapi unaenda kuzisajili?
Asante wanajamvi

mkuu huko wapi nipm tueleze
 
Hakikisha unajifunza nyimbo nyingi tu za kitoto toto ndugu.

Ukiweza hilo tu basi utaweza kuwa na biashara ya shule za awali kiongozi.
 
Hakikisha unajifunza nyimbo nyingi tu za kitoto toto ndugu.

Ukiweza hilo tu basi utaweza kuwa na biashara ya shule za awali kiongozi.

Hahahaaa sikutegemea kama uko hivi!
 
Hahahaaa sikutegemea kama uko hivi!

Hahaaa, this is JF my lovely.

logo2.png
 
Unasajili ustawi..

vigezo baadhi navyofahamu..

chumba kikubwa chenye kuingiza na kutoa heww

eneo la kuchezea

choo kinachoweza kutumiwa na watoto wengi nadhan matundu kumi au nane

eneo la kuchezea watoto

sehemu maalum ya kupikia na iwe safi

vitabu na miundombinu

walimu wenye sifa

hivyo ni baadhi navyofaam
 
Back
Top Bottom