Biashara ya shilingi za zamani

dadysam

Member
Nov 15, 2016
48
39
Najua humu kuna watu wenye uelewa wa vitu mbalimbali.Sasa basi mi nna jambo nataka kuuliza je kuna mtu anajua ni kuhusu hii biashara ya shilingi za zamani na kwanini watu wanasema huuzwa kwa bei kubwa sana?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Najua humu kuna watu wenye uelewa wa vitu mbalimbali.Sasa basi mi nna jambo nataka kuuliza je kuna mtu anajua ni kuhusu hii biashara ya shilingi za zamani na kwanini watu wanasema huuzwa kwa bei kubwa sana?
Tafuta hiyo habari humuhumu ilishajadiriwa kwa upana sana. Na kwa vile huu ni msimu wa sikukuu jiandae kutapeliwa sana. Kila la heri
 
Shilling ya zamani ni moja tu yenye thamani na hupewa thamani na coin collector ambao wana museum za hela au sarafu za kila nchi. Wakisha ipata ya kwanza basi hawana shida tena na zile zinazofuata, kwa bahati mbaya habari hizo huenea katika jamii muda mrefu sana.

Siyo shilling za zamani tu inaweza ikawa nakala ya kwanza ya gazeti Fulani, kitabu Fulani cha siku za nyuma sana,baskeli za zamani, taa za zamani mfano aladin n.k
 
Jibu halisi hili hapa
 
Back
Top Bottom