Biashara ya Sheesha.

Biashara ya Sheesha.

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,716
Reaction score
5,283
Halo wadau. Habari za ku hastle?
Ebwanaee kuna boonge la dili wadau nataka ni share nanyi.
Ni kuhusu biahsara iloingia kwa kasi zaidi hapa town, Asee watu wanapiga hela wadau. (Usimwambie mtu)
Ni hivi, Kuna rafiki yangu yuko anafanya hii ila kaajiriwa sehemu flani ya biashara ya vinywaji (Booze.).
Inaendaje endaje? What you need?
Mtungi wa hiyo kitu ni very cheap hauwez zidi laki mbili. So for beggining mitungi mitano yatosha. Baasi ukiwa nayo hiyo mitungi then eneo. Let say bar, beach what ever. Waweza pay rent let say 500,000/m so six months will tall up to 3,000,000 plus 1,000,000 ya mitungi making 4,000,000. Sasaa kuna vitu vinaitwa tastes yale materials ambayo ni dizain kama tumbaku hivi lakini yanakua na flavor mbalimbali ambayo kila flavor yakost normally 10,000 hivi.
Enhe hapo sasa wajua cost ya kuvuta ile kitu? 10,000 to 20,000 per person according to tha flavor. Anha say mint, chocolate, banana etc etc.
Means 1o customers avr per day will make an average earn of 150,000 per day, times 30 days a month? Daah wala sijui how mugh mana hesabu niliikimbia tangia vidudu.
Are you interested with this business? Lets go PM.
 
mkuu mi sijaelewa hii mada yako!
ngoja waje wengine labda nitafahamu
 
kama biashara inalipa si ufanye wewe? au hupendi pesa? tangu lini mbongo akamjurisha mwenzake dili la pesa?
 
Unamaanisha hii
th
th
 
dont know au ni zile bange za watu watano wanavuta moshi ktk mtungi kwa pamoja :bange:
 
  • Thanks
Reactions: amu
Na kama ni hapo juu, hii kitu wanapenda sana watu wa middle east, swali ni kwamba wateja wapo ? (ushafanya research ya hio average 20 customers per day) ? na kama mtungi ukiwa bei rahisi alafu hii kitu ni addictive huoni kwamba watu watanunua mitungi wakavutie kwao.., unless kwenye ukumbi wako uweke vivutio watu wawe wanakuja for experience as well as smoking Huukah
 
mh! hii busness kwa bongo itabidi ukaweke mlimani city naona bange kama kawa
 
mh! hii busness kwa bongo itabidi ukaweke mlimani city naona bange kama kawa
Hamna bamge mdau. Ni mafleva matam matam tu we jaribu siku moja utaipenda. NB angalia usijekuwa addictive.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Na kama ni hapo juu, hii kitu wanapenda sana watu wa middle east, swali ni kwamba wateja wapo ? (ushafanya research ya hio average 20 customers per day) ? na kama mtungi ukiwa bei rahisi alafu hii kitu ni addictive huoni kwamba watu watanunua mitungi wakavutie kwao.., unless kwenye ukumbi wako uweke vivutio watu wawe wanakuja for experience as well as smoking Huukah
Mdau wateja wakumwaga tu, Though mitungi ni cheap lakini kama laga vile ukinunua unywee nuumbani haina mzuka mpaka ukanywee bar, The same to these Hookah.
 
Huwa mnaweka na sembe humo!!
Hamna sembe mdau ni mafleva tu, Kule mido ist ndo wanawekaga na hayo madude ila kwa bongo hakuna mdau. Ukitaka na masembe hutaweza afodi bei yake.
 
Watu wanachangia midomo yao humo, wengine hawajapiga miswaki,

Ptyuuuuu!!!!!
 
Unaambiwa hii sheesha ina madhara makubwa kuliko bangi na sigara za kawaida
 
Bongo wezi unavuta kwa elf 15-20 per person? Dah!kweli inalipa kama ni hivyo
 
Back
Top Bottom