Wasalaam.ndugu zangu nimekiwa domant sana hasa kipindi hiki kigum...wale wanaotaka kujua network ya samaki wanatakiwa kujua ni aina gani ama ni angle gani washikilie.binafsi mm nipo kwenye prawns na lobster.hasa napeleka viwandani...biashara ya samaki iko wide sana sasa yabidi ujue unataka kufanya nn kwenye samaki