Acha Uwo Ujinga !!!! Wapemba wana nini cha ziada ?Hizo biashara ni za wapemba mgoni wapi na wapi na hizo biashara, kila biashara inawenyewe.
Nadhani mleta uzi unaweza chukua hii comment ukamtumia kwa njia ya sms huyo ndugu yako mkatafuta namna ya kurekebisha. Usiogope kumrekebisha ndugu yako.Kama unampenda nduguyo mshauri...
Atafute wapishi hodari au wapembe upande wa vitafunwa, chips na nyama za kuchoma au kukaanga
awe msimamizi wa vitu vya jikoni maana wanatabia ya kuchukua vitu, so anayekabidhiwa ndio atahusika na lolote.
Hata unishikie bunduki hunilishi chakula cha mpemba wala msomali maana ndio wapenzi wa hizi biashara..Sili hata kwa dawaHizo biashara ni za wapemba mgoni wapi na wapi na hizo biashara, kila biashara inawenyewe.
Kama unampenda nduguyo mshauri...
Atafute wapishi hodari au wapembe upande wa vitafunwa, chips na nyama za kuchoma au kukaanga
Atafute wapishi wazuri wa misosi
Kwa kuwa ni restaurant atafute wahudumu nadhifu wa kike na wakiume wenye lugha nzuri Kwa wateja.
Mazingira yawe safi sana.
Vyakula viwe tayari Kwa muda muafaka
Mfano asubuhi saa 12:30 basi vinavyohusiana na kifungua kinywa viwe tayari mfano, chai, vitafunwa, supu na mtori, juice fresh
Ifikapo saa Tano na nusu Cha mchana kiwe tayari....hiki anaweza kuunganisha kikafika Hadi jioni.
Mkewe amuweke kusimamia wapishi wapike Kwa muda na mauzo.
Fridge amkabidhi mmoja wa wahudumu ili ikitokea loss iwe rahisi kujua wapi imepatikana. So huyo mhudumu mmoja kazi yake ni kuhudumia vinywaji, asubuhi anakabidhiwa vilivyomo kwenye fridge na vitavyotarajiwa kuongezwa, jioni wanavyofunga wanakabidhiana pia.
Jikoni pia amtafute mmoja awe msimamizi wa vitu vya jikoni maana wanatabia ya kuchukua vitu, so anayekabidhiwa ndio atahusika na lolote.
SahihiKama unampenda nduguyo mshauri...

UchawiAcha Uwo Ujinga !!!! Wapemba wana nini cha ziada ?
Kwani mkuu uli?Hata unishikie bunduki hunilishi chakula cha mpemba wala msomali maana ndio wapenzi wa hizi biashara..Sili hata kwa dawa
Uchawi sio kuloga tu BossNa mabango ya waganga wa Kienyeji mbona hakuna la wapemba??
Hawa watu naonaga suala la usafi kwao ni kipengele sanaaKwani mkuu uli?
Sio kweli katika jamii chafu wapemba na wasomali sio likija suala la mapishi ni wasafi na wastaharabu sanaaHawa watu naonaga suala la usafi kwao ni kipengele sanaa