Biashara ya Pumba ya Mahindi

Biashara ya Pumba ya Mahindi

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,131
Reaction score
1,598
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naitaji pumba ya mahindi
Sif za pumba
iwe pumba kavu
iwe na chakula
iwe nyeupe
Isiwe brown kama una pumba ya aina hiyo karibu kwa mjadala na weka na bei yako kwa kilo unauzaje na unapopatikana
Karibuni kwa mjadala
 
Wewe upo wapi/mkoa gani?
Unanunua kwa pesa ngapi per 1 kg?
Unapoamua kufanya biashara, jaribu kuwa serious na uweke mawasiliano tafadhali.

Ushauri wangu kwako ni huo tu, lakini pumba sina

Sawa mkuu
Kilo nanua kwa 200
Napatikana Kilimanjaro mkuu kama unayo naomba uje pm tufanye biashara
 
Ina maana hakuna mwenye pumba au watu hawataki kufanya biashara wanajamvii
 
Bei unayotoa mkoa we ulipo ni Shidaah uwezi pata mzigo sababu naona hiii ni thred yako ya pili
 
Pumba mbichi iliotoka kukobolewa kwenye mahindi ipo bei 4000/ debe Sawa na 400 kwa kilo..
Na pumba sasa ni adimu watu wanakula sana dona.
 
Back
Top Bottom