A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naitaji pumba ya mahindi
Sif za pumba
[emoji666]iwe pumba kavu
[emoji666]iwe na chakula
[emoji666]iwe nyeupe
Isiwe brown kama una pumba ya aina hiyo karibu kwa mjadala na weka na bei yako kwa kilo unauzaje na unapopatikana
Karibuni kwa mjadala