Biashara ya nguo na viatu vya dukani/special

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Hi guys!

Natafuta wauzaji wa jumla wa nguo na viatu vya kiume ila wawe wanaimport wenyewe, tukielewana vizuri naweza kuwa customer wao. Targeted customers ni average income earners.

Unaweza kuniPM.
 
Back
Top Bottom