Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 362
- 563
Chambuu zipo za aina mbili..zipo aina flani ukifika machimbo waulize tu chambuu za cf..ni chupi quality sio lonya. Hizo unaweza kuuza hata chupi moja 5000 na chambuu part 2 ni mseto. Mseto ni mchanganyiko wa chupi mbalimbali kwenye dozen moja.Umekuja na msamiati Mpya Chambuu kwenye Chupi ndo zipoje na zinapatikana wapi.?
Ili kuongeza mauzo dukani kwako ni kuleta bidhaa wanazozitaka kulingana na soko lako Mkuu
Hongera kwa kuthubutu nikija mjini nitakutembelea ofcn kwako 😉
Chambuu zipo za aina mbili..zipo aina flani ukifika machimbo waulize tu chambuu za cf..ni chupi quality sio lonya. Hizo unaweza kuuza hata chupi moja 5000 na chambuu part 2 ni mseto. Mseto ni mchanganyiko wa chupi mbalimbali kwenye dozen moja.
Zipo kule mtoro dozen tano tsh 47500. Unapata chupi 60...utakazouza 3500 zikaa 15.za 2000 zinakaa 30.the rest buku jero mpaka bukuunaona sasa unanipa madini mapya kabisa ebu Fanya kufunguka nazipataje hizo Chambuu za cf? #iloveJF
Ndo wapi huko wengine tuko huku ushirombo ndani ndanikule mtoro
Hizi ni mtumbaZipo kule mtoro dozen tano tsh 47500. Unapata chupi 60...utakazouza 3500 zikaa 15.za 2000 zinakaa 30.the rest buku jero mpaka buku
KariakooNdo wapi huko wengine tuko huku ushirombo ndani ndani
Sorry mkuu,yan underground unaingia chini ya yale maduka ndio unakuta waauzaji wa sendo za kike jumla...au me ndo sjakuelewaMkuu namba zao sina na nashauri sana kama ungeweza fika mwenyewe kariakoo underground uchague kwa macho yako......maana unaweza pata namba ya machinga wa nje akakupiga kwa kukutajia bei kubwa, pia ni vizuri kuwepo ili wasikuchanganyie na visendo old fashion yani upate mzigo mpya mpya na fashion za sendo za kisasa......mwanzoni kama mara 5 fuata mzigo mwenyewe baada ya hapo unaweza agiza kama utakuwa umezoeana na wauzaji
Samahani mkuu vp naweza kupata mawasiliano yako nikuchekShukrani kwa kuongezea ni kweli japo inachosha sana kutafuta viatu latest na vinavyopendwa inahitji juhudi ila pesa ipo
Hajakupa jibu ya hii akikujibu nitag pleaseSorry mkuu,yan underground unaingia chini ya yale maduka ndio unakuta waauzaji wa sendo za kike jumla...au me ndo sjakuelewa
Kaka nichek pm nkupe ya watsappSamahani mkuu vp naweza kupata mawasiliano yako nikuchek
balo kwa unaeanza ni risky sana, unaweza pata nguo nzuri ajabu au mbaya ajabu.....Kwahiyo kuchukua balo siyo njia nzuri?
Mkuu nimechelewa kujibu ndio naona notification hapa..... kariakoo underground ni hukohuko ulikoelezea i mean maduka ya ndani chini ukiachana na maduka ya juu....Sorry mkuu,yan underground unaingia chini ya yale maduka ndio unakuta waauzaji wa sendo za kike jumla...au me ndo sjakuelewa
Mkuu nimemjibu japo kwa uchache sababu inaonekana anapajua kiasiHajakupa jibu ya hii akikujibu nitag please
Huko ndo wanapaita jina lingine SHIMONI au nakosea?Mkuu nimechelewa kujibu ndio naona notification hapa..... kariakoo underground ni hukohuko ulikoelezea i mean maduka ya ndani chini ukiachana na maduka ya juu....
Maduka ya chin tembea uliza bei utapata madula yenye bei nzuri sana (tembea sana maana bei zinatofautiana na mzigo pia inatofautiana kwa latest fashion)
maduka ya juu/nje mengi yanauza kwa bei ya juu sababu ya kodi ila ndani kodi sio kubwa kama nje so hata bidhaa zinauzwa kwa bei nzuri sana
Watu hawajaja hapa kwa kuwa nawe si mchangiaji.
ID yako ya 2015 lakin unaonekana c wa kujichanganya.
Hata nyuzi zako zina wachangiaji wachache sana.
Tembelea nyuzi zinazohusu biashara.
Ulichoandika tayari kishajadiliwa sana.
Nishakuchek Pm mkuuKaka nichek pm nkupe ya watsapp
Ndio hulo mkuu shimoni na underground ni sehemu moja tu.....lugha ndo tofauti alafu kule kuna maeneo na majina mfano underground toronto etc ndio maana nikasema utembee tembee ili uangalie kote usiende sehemu moja tuHuko ndo wanapaita jina lingine SHIMONI au nakosea?
Sawa mkuuN
Nishakuchek Pm mkuu